img

Ombeni Gabriel aibuka na ‘You Are My God’

October 4, 2020

ARIZONA, MAREKANI MWANAMUZIKI wa gospo mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) anayeishi nchini Marekani, Ombeni Gabriel, amewaomba mashabiki waipokeee video yake mpya, You Are My God. Akizungumza na MTANZANIA, Gabriel alisema katika wimbo huo wenye ujumbe wa kumshukuru na kumtukuza Mungu amemshirikisha mwimbaji kutoka Uganda, Victoire Popole. “Nimeachia video hivi karibuni ipo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *