img

Msajili ataka vyama kufuata sheria kuepuka migogoro

October 4, 2020

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa na wadau wote kuheshimu sheria na taratibu za Uchaguzi kama zilivyoainishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ili kuepuka migogoro isiyo ya lazima.  Alisema hayo alipokuwa akizungumza jijini Dar es Salaam katika kikao na,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *