img

Mbaroni kwa tuhuma za kumuua mtoto wake kwa kumtupa mtoni

October 4, 2020

Na Nyemo Malecela, Kagera JESHI la Polisi mkoani Kagera, linamshikiria Herieth Ponsian (27) mkazi wa Kyebitembe Manispaa ya Bukoba kwa tuhuma za kumtupa mtoni mtoto wake na kumsababishia mauti. Kamanda wa Polisi mkoani Kagera, Revocatus Malimi, alisema Herieth alikiri kumtupa mtoto wake, Prince Onesmo (1) katika mto wa Kanoni unaotiririsha maji machafu akiwa hai na,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *