img

Maelfu ya wazee wapatiwa kadi za afya bure Shinyanga

October 4, 2020

Na DAMIAN MASYENENE–SHINYANGA HALMASHAURI ya Wilaya ya Shinyanga mkoani hapa, imetoa kadi 5,568 za matibabu bure kwa wazee, huku nyingine 7,859 zikiendelea kutengenezwa kwa ajili ya kundi hilo maalum ili kuliondolea usumbufu wanaopata wakienda kupata huduma za matibabu. Hayo yamebainishwa na Katibu wa Baraza la Wazee Wilaya ya Shinyanga, Boniface Boaz, katika risala ya baraza,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *