img

Kundo: Mkinichagua itakua mwisho wa kero ya umeme, barabara

October 4, 2020

Derick Milton, Bariadi. Mgombea ubunge jimbo la Bariadi Andrea Kundo (CCM) amewaomba wananchi wa vijiji vya Itubukilo, Mwanzoya na Halahala kata ya Itubukilo kumpigia kuraili iwe mwisho wa kero ya kutokuwa na umeme pamoja na Barabara zinazopitika. Kundo ametoa ahadi hizo mbele ya umati wa wananchi wa vijiji hivyo leo katika mwendelezo wa kampeini zake,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *