img

Ibrahim Class: Fundi umeme anayetakata kwenye masumbwi

October 4, 2020

NA GLORY MLAY  NI dhahiri kuwa vipaji vikiibuliwa tangu utotoni na kuendelezwa vyema vijana wanakuja kuwa wazuri ukubwani na kulitangaza vyema taifa nchi za nje. Hali hiyo inadhihirika kwa kijana Ibrahim Class ‘king Class Mawe’ ambaye anafanya vizuri katika medani za ngumi  ambazo zinamsaidia kuinua kiwango chake. Tangu aingie katika mchezo huo ameshiriki katika mashindano,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *