img

Salma Kikwete: Safari ya maendeleo Mchinga inaanza Oktoba 28

October 3, 2020

Mwandishi Wetu, Lindi Mgombea Ubunge Jimbo la Mchinga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwalimu Salma Kikwete, amesema safari ya upatikanaji wa maendeleo katika jimbo hilo inaanza rasmi Oktoba 28, mwaka huu baada ya wapiga kura kuwachagua wagombea wa chama hicho. Akizungumza katika mikutano ya kampeni zake zilizofanyika kuanzia Jumatano, juzi na jana kwenye,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *