img

Wahitimu vyuo kupatiwa stadi za ajira

October 2, 2020

Na AVELINE KITOMARY -DAR ES SALAAM KAMPUNI ya TMS Consultants LTD inatarajia kuzindua programu mpya ambayo itasaidia kuondoa tatizo la ajira kwa  vijana hasa wale wanaosoma vyuo vikuu. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kampuni hiyo, Sebastian Kingu alitoa wito kwa wanafunzi wa vyuo vikuu  pamoja na vyuo vingine vya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *