img

Utafiti waonyesha watoto 15 wana vinasaba selimundu

October 2, 2020

 RAMADHAN HASSAN– DODOMA UTAFITI unaonesha kila watoto 100 waliopimwa ugonjwa wa selimundu 15 ama 20, wamekutwa na vinasaba vya ugonjwa huo huku Kanda ya Ziwa ikitajwa kuwa na wagonjwa wengi. Akizungumza jijini Dodoma juzi kwa niaba ya Mganga Mkuu wa Serikali,Profesa Abeid Makubi,Mkurugenzi Msaidizi wa Magonjwa yasiyoambukiza kutoka Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *