img

Nahodha Gwambina aapa Ihefu hawachomoki

October 2, 2020

Na WINFRIDA MTOI, DAR ES SALAAM NAHODHA wa timu ya Gwambina, Jacob Massawe, amesema imetosha kwa mechi nne walizopoteza na hawatarudia makosa  katika mchezo wa kesho dhidi ya Ihefu FC utakaochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza. Katika michezo minne ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyocheza, Gwambina ilipanda daraja msimu huu, haijapata ushindi hata,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *