img

Magufuli awabeba wazee, wajawazito

October 2, 2020

 NORA DAMIAN – SONGWE RAIS Dk. John Magufuli amepiga marufuku kuwatoza fedha wajawazito wanaochelewa kuanza kliniki, utaratibu ambao umekuwa ukifanywa kupitia kampeni ijulikanayo ‘Mama Komandoo’. Kampeni hiyo ni mojawapo ya kero zilizolalamikiwa na baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Songwe ambao walidai wamekuwa wakitozwa Sh 50,000 kama adhabu ya kuchelewa kuanza kliniki. Akizungumza kwa nyakati,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *