img

Zari kunogesha tuzo za HAPAWARDS USA

October 1, 2020

NA CHRISTOPHER MSEKENA MREMBO mwenye ushawishi mkubwa Afrika, Zari The Boss Lady, anatarajiwa kunogesha tuzo za Hollywood And African Prestigious Awards (HAPAWARDS) za nchini Marekani. Tuzo hizo ambazo zinafanyika kwa msimu wa tatu sasa huwa zinaangazia watu waliofanya vizuri kwenye muziki, filamu, biashara, teknolojia na sekta zingine ambapo mwaka huu kilele chake kitakuwa, Oktoba 18.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *