img

Triple R & Z waachia ‘Hakuna Matata’

October 1, 2020

NA CHRISTOPHER MSEKENA KUNDI la Triple R & Z linaloundwa na watoto wenye vipaji kutoka Tanzania na Uingereza, limewashukuru mashabiki kwa kuipokea vyema video ya wimbo wao mpya, Hakuna Matata. Triple R & Z, linaloundwa na wasanii Rehanna Xoxo, Raheel Tripler, Raif Tripler na Zaiden, limekuwa likifanya vizuri kupitia nyimbo zake Zawadi, Kila Kona waliyomshirikisha,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *