img

Changamoto wanazokumbana nazo wagonjwa selimundu

October 1, 2020

Aveline Kitomary SELIMUNDU (sickle cell) ni ugonjwa unaorithiwa kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine, hutokana na tatizo kwenye chembechembe nyekundu za damu.  Ugonjwa huu unaendelea kuongezeka hapa nchini kutokana na wazazi wa pande zote mbili kushindwa kupima vinasaba (DNA) kabla ya kuoana au kuzaa.  Ikiwa wazazi wote wawili wanachembechembe za sickle cell wanaweza kumzaa mtoto,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *