img

Salma Kikwete azidi kuchanja mbuga Mchinga

September 30, 2020

Mwandishi Wetu, Lindi Mgombea Ubunge Jimbo la Mchinga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwalimu Salma Kikwete, ameendelea kufanya mikutano ya kampeni katika kata na vijiji vya jimbo hilo kwa kuwataka wapiga kura kuchagua mafiga matatu kwa kumchagua Mgombea Urais, Dk. John Magufuli, yeye na madiwani wote wa chama hicho ifikapo Oktoba 28, mwaka,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *