img

Prof. Juma: Jaji Mmila atakumbukwa kwa utendaji kazi

September 30, 2020

Mwandishi Wetu -Dar es Salaam JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma, amemwelezea marehemu Jaji Bethuel Mmilla kuwa alikuwa mchapakazi na atakumbukwa kwa utendaji kazi wake wa kujitoa na ushirikiano. Mwili wa Mmilla, aliyekuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania, umezikwa jana nyumbani kwake Goba Michungwani, Dar es Salaam baada ya kuagwa katika,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *