img

Wasichana 150 wapatiwa mafunzo ya biashara kupitia mtandao

September 29, 2020

Na BRIGHITER MASAKI – DAR ES SALAAM WASICHANA 150 wamepatiwa  mafunzo ya kufanya biashara kupitia mitandao ya kijamii, itakayowasaidia kujiinua kiuchumi na kuepukana na ukatili dhidi ya wanawake na watoto ambao umekuwa ni changamoto kubwa nchini. Akizungumza na MTANZANIA jana Dar es Salaam, wakati wa kuhitimisha mafunzo hayo, Ofisa Mawasiliano wa Shirika la Her Initiative,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *