img

UN: Usawa wa jinsia, safari bado ni ndefu

September 29, 2020

Na MWANDISHI WETU MWAKILISHI Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Zlatan Milisicat amesema pamoja na juhudi za kupigania usawa wa jinsia nchini, safari bado ni ndefu kutokana na vizingiti vinavyoendelea kujitokeza. Akizungumza katika ufunguzi wa mjadala wa kuchochea kampeni za usawa wa jinsia mwishoni mwa wiki iliyopita, Milisicat alisema usawa wa jinsia ni kiini,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *