img

Mwalimu aliyejeruhiwa na mwanafunzi aruhusiwa kutoka hospitalini

September 29, 2020

Aveline Kitomary, Dar es Salaam Mwalimu wa Shule ya Sekondari Kiagata iliyopo Butiama mkoani Mara, Majogolo Ngwalali (36) aliyejeruhiwa na mwanafunzi wa kidato cha tatu akiwa kazini ameishukuru Taasisi ya MOI kwa kumpatia matibabu mazuri kwa wakati. Akizungumza baada ya kuruhusiwa kutoka MOI, Majogolo amewashukuru wahudumu wa Afya wote kwa kumpa huduma bora na sasa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *