img

Kizimbani kwa dawa za kulevya, bangi

September 29, 2020

NA WAANDISHI WETU – DAR ES SALAAM MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam imempandisha kizimbani mkazi wa Manzese, Michael Nikolai (25) kwa tuhuma ya kukamatwa na dawa za kulevya aina ya bangi yenye uzito wa gramu 15.89. Awali, akisoma hati ya mashtaka mbele ya Hakimu Denis Mlashani, Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Chesence Gavyole,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *