img

Kimwanga aahidi kumaliza kero Makurumla

September 29, 2020

SARAPHINA SENARA (UoI) Na WARDA LUPENZA (TURDARCo) DAR ES SALAAM MGOMBEA wa udiwani Kata ya Makurumla kupitia CCM, Bakari Kimwanga, amewaomba wananchi kumchagua ili kuboresha miundombinu itakayosaidia kuepuka adha ya mafuriko kipindi cha mvua. Kimwaga alisema hayo  wakati akizungumza na wananchi katika Mtaa wa Kagera ikiwa ni muendelezo wa kampeni zake, akiomba ridhaa ya kuchaguliwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *