img

Wakulima wa korosho Lindi wajengewa kituo cha malipo

September 28, 2020

 HADIJA OMARY-LINDI HATIMAYE ucheleweshwaji wa Fedha za malipo ya wakulima wa Wilaya ya Liwale wanaohudumiwa na chama kikuu cha Ushirika Runali kinachojimuisha wakulima wa Wilaya za Ruangwa, Liwale na Nachingwea mkoani Lindi, itabaki historia baada ya chama hiko kujenga kituo cha malipo kitakachotumika kuandaa na kuhakiki malipo ya wakulima hao kwa haraka zaidi Kituo hiko,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *