img

Sababu zitakazoifanya Simba kuendelea kutamba

September 28, 2020

 ZAINAB IDDY  SIMBA ni mabingwa wa Ligi Kuu Tanzanai Bara kwa misimu mitatu mfululizo sasa, lakini pia ni washindi wa Kombe la Shirikisho, maarufu Kombe la Azam.  Zaidi ya hayo, Simba ni washindi wa Ngao ya Jamii,kwa miaka minne mfululizo, hii ni rekodi tamu.  Hakuna ubishi kwa misimu mitatu , kutokea msimu huu hasa baada,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *