img

NEC yamwita Lissu kujieleza

September 28, 2020

 MWANDISHI WETU TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema imemuandikia barua mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha Kamati ya Maadili ya Taifa, huku ikitoa onyo kwa wagombea wengine. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk Charles Mahera alisema hayo jijini Arusha wakati akizungumza na,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *