img

NANDY AKANA KUWA MJAMZITO

September 28, 2020

 GLORY MLAY  MREMBO anayefanya poa kwenye Bongo Fleva, Faustine Charles ‘Nandy’, ameweka wazi kuwa hana ujauzito ila mwili wake umeongezeka kwa sababu ya mabadiliko ya binadamu.  Nandy, amesema mashabiki wameanza kumnyooshea vidole kuwa tayari amanasa ujauzito wa mchumba wake, Billnas jambo ambao sio kweli.  “Watu wanasema mimi ni mjamzito kwa sababu nimenenepa, ukiangalia familia yetu,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *