img

‘Nakusifu’ ya Msafiri Tunga yaingia mtaani

September 28, 2020

PHOENIX, MAREKANI MWIMBAJI wa gospo kutoka Phoenix, Marekani, Msafiri A Tunga, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuipokea video ya wimbo wake mpya, Nakusifu ukiwa kwenye maudhui tofauti. Akizungumza na MTANZANIA jana, Tunga alisema anawashukuru waimbaji wake kwa kukamilisha wimbo huo wenye maudhui ya kwaya za Katoriki jambo lililoongeza utofauti wa nyimbo zake zilizopita. “Ni wimbo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *