img

Mshahara wa waziri wasimamishwa

September 28, 2020

 PRETORIA, AFRIKA KUSINI RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametoa onyo kali kwa waziri wake wa ulinzi, Nosiviwe Mapisa Nqakula na kusimamisha mshahara wake kwa miezi mitatu kwa kupeleka ujumbe nchini Zimbabwe kwa ndege ya jeshi la anga. Haya ni kwa mujibu wa ofisi ya rais.  Chama cha upinzani cha Democratic Alliance kilikuwa kimemshutumu Mapisa-Nqakula,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *