img

Mkakati wa kukifuta chama cha Bobi Wine wapelekwa mahakamani

September 28, 2020

 KAMPALA, UGANDA MWANASIASA wa upinzani nchini Uganda anayemtikisa Rais Yoweri Museveni amejikuta akipigania mchakato wa kuwa kwenye karatasi ya kura, baada ya mshirika wake kukanusha mahakani kwamba alimpa uongozi wa chama cha NUP. Sakata ya kesi ya kupinga uhalali wa chama cha kisiasa cha Bobi Wineilianza wiki iliyopita pale mshirika wa Bobi Wine, Moses Kibalama,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *