img

Marioo apata dili la ubalozi kampuni ya JCW

September 28, 2020

Msanii wa bongo Fleva nchini, Omary Ally ‘Marioo’ amepata ubalozi na (JCW)  wamempa gari ambalo litamsaidia katika shughuli zake na tamasha lake  analotarajia kufanya Oktoba 2 mwaka huu mkoani Dodoma. Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es Salaam, Marioo alisema kuwa anashukuru kwa kampuni hiyo ya JCW kwa kuona mchango wake katika,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *