img

Maalim Seif kutoa mikopo kwa wafanyabiashara

September 28, 2020

 MWANDISHI WETU – ZANZIBAR  MGOMBEA wa Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesemaendapo atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar atatoa mikopo kwa wafanyabiashara ili waweze kukuza bishara zao. Alisema hayo katika viwanja vya Mkele Jimbo la Shauri Moyo Wilaya ya Mjini Magharibi wakati akiendeleza kampeni za nafasi hiyo visiwani humo.  Alisema wafanyabishara,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *