img

Dar Mjomba wa Kenya aachia ‘Moyo’

September 28, 2020

Christopher Msekena STAA wa gospo nchini Kenya, Dar Mjomba, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuipokea video na wimbo wake, Moyo, aliyoiachia hivi karibuni kwenye mitandao mbalimbali. Dar Mjomba ambaye yupo chini ya Safri Records, ameliambia MTANZANIA kuwa ndani ya wimbo, Moyo ameongelea maisha ya vijana wengi ambao huwakabidhi mioyo kwa wapenzi wao na mwisho wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *