img

CCM yaongeza nguvu

September 28, 2020

 NORA DAMIAN– DODOMA CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinaanza ngwe ya tatu ya kampeni katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini huku kikieleza namna kitakavyozitumia siku 30 zilizobaki kuomba ridhaa ya Watanzania ili waweze kukichagua tena. Akizungumza jana Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, alisema chama kimetoa maelekezo ya namna ya kuzitumia vyema,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *