img

Yanga, Mtibwa vita isiyotabirika

September 27, 2020

Na SOSTHENES NYONI-DAR ES SALAAM YANGA inashuka dimbani leo, kukabiliana na Mtibwa Sugar, katika pambano la Ligi Kuu Tanzania Bara, litakalopigwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Yanga itaikabili Mtibwa, ikitoka kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji wao Kagera Sugar, katika mchezo wa ligi hiyo uliochezwa Uwanja wa Kaitaba, Bukoba mkoani  Kagera. Kwa upande mwingine,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *