img

Wanasiasa wawe makini na ndimi zao

September 27, 2020

Hii ni wiki ya nne tangu kampeni za siku 60 za Uchaguzi Mkuu zianze ambapo tayari vyama vinavyoshiriki wagombea wake wako maeneo mbalimbali kwa ajili ya kumwaga sera ili wachaguliwe. Tunasisitiza kwa mara nyingine tena kila kundi linaloshikiri katika uchaguzi huu kuzingatia haki ili kutovuruga amani iliyopo kwa sababu kuna maisha baadaya uchaguzi. Tunarudia kusisitiza,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *