img

Tundu Lissu afunguka Mwanza

September 27, 2020

Na BENJAMIN MASESE-MWANZA MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu  amesema amestushwa  na kupata wasiwasi juu ya  kitendo cha wakurugenzi watendaji wa halmashauri  nchi nzima kuitwa jijini Dodoma  na mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Dk. John Magufuli. Amesema  wakurugenzi watendaji wa halmashauri  kwa mujibu wa sheria ndio wasimamizi wa uchaguzi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *