img

‘Si kila anayepita JKT lazima aajiriwe na jeshi’

September 27, 2020

Mwandishi Wetu-Butiama JAMII imetakiwa kuondokana na dhana kuwa kila kijana anayejiunga na kupata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa nchini (JKT) ni lazima apate ajira katika katika majeshi yaliyopo nchini. Badala yake mafunzo hayo yanatakiwa kutumika katika kutatua changamoto za maisha kwa kijana mmoja mmoja na jamii kwa ujumla hatua ambayo itapelekea kuwa na maisha,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *