img

Serikali yaitaka OSHA kuwafikia wachimbaji wadogo wa madini

September 27, 2020

MWANDISHI WETU, GEITA SERIKALI imeuagiza Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuandaa na kutekeleza programu maalumu ya mafunzo ya Usalama na Afya kwa wachimbaji wadogo katika mikoa yote nchini yenye shughuli za uchimbaji madini. Agizo hilo lilitolewa jana Septemba 26, na Waziri wa Madini, Doto Biteko, alipotembelea banda la OSHA katika maonesho,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *