img

Serikali Lebanon yashindikana

September 27, 2020

BEIRUT, LEBANON WAZIRI Mkuu mteule wa Lebanon Mustapha Adib ameachia ngazi baada ya kushindwa kuunda serikali isiyoegemea upande wowote kisiasa kwa karibu mwezi mzima. Hilo ni pigo kwa mpango wa Ufaransa wa kuumaliza mzozo wa nchi hiyo. Adib ambaye awali alikuwa balozi wa Lebanon nchini Ujerumani aliteuliwa kuwa waziri mkuu Agosti 31, na kutwishwa jukumu,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *