img

Safari za ndege Nigeria hatihati

September 27, 2020

LAGOS, NIGERIA VIWANJA vya ndege nchini Nigeria huenda vikafungwa siku ya Jumatatu huku vyama vinne vikuu vya wafanyakazi vikisema kuwa vitajiungana  na mgomo wa kitaifa kulalamika kuhusu ongezeko la bei ya mafuta na gharama ya umeme.  Taarifa ya pamoja iliyotolewa siku ya Alhamisi ya vyama vinne vya wafanyakazi vinavyowaakilisha marubani, wahandisi na waatalamu wengine wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *