img

Mamia wajitokeza kupata matibabu ya moyo Temeke

September 27, 2020

Na Mwandishi wetu-Dar es Salaam Mwitiko wa wakazi wa Wilaya ya Temeke, jijini hapa kwenda kufanyiwa uchunguzi na matibabu dhidi ya magonjwa ya moyo katika viwanja vya mwembe yanga, umekuwa mkubwa. Wananchi hao wamepata fursa hiyo ya kuchunguzwa na kutibiwa bila malipo pamoja na kupewa ushauri wa lishe jinsi gani wanaweza kuendelea kutunza afya ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *