img

Majaliwa aahidi kivuko kisiwa cha Gana Ukerewe

September 27, 2020

Na CLARA MATIMO-Ukerewe CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimeahidi kutoa kivuko kwa wananchi wa kisiwa cha Gana, kilichopo Kata ya Ilangala, wilayani Ukerewe. Ahadi hiyo imetolewa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Kassim Majaliwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kitongoji cha Gana. Katika mkutano huo, Majaliwa alimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *