img

Wagonjwa wapya 19 wa kifua kikuu wabainika Temeke

September 25, 2020

Na AVELINE  KITOMARY – DAR ES SALAAM WATU 1,626 wamejitokeza kupata taarifa sahihi, vipimo na elimu kuhusu ugonjwa kifua kikuu ambapo katika zoezi hilo watu 19 wameibuliwa kuwa na ugonjwa huo.  Akizungumza na MTANZANIA katika mahojiano maalum wakati wa maonesho ya One Stop jawabu yanayoendelea katika Uwanja wa Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam, Mratibu wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *