img

Simba yafichua siri ya Chama, Bwalya

September 25, 2020

Na WINFRIDA MTOI, DAR ES SALAAM KLABU ya Simba imeweka bayana kuwa hakuna timu yoyote Tanzania inayoweza kumsajili kiungo wao Mzambia, Clatous Chama na ataendelea kubaki Msimbazi hadi pale atakapojisikia kuondoka nchini. Kauli hiyo imekuja baada ya hivi karibuni kuibuka mijadala juu ya kufikia ukingoni kwa mkataba wake Julai mwakani na kiwango anachokionesha kwa sasa.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *