img

Serikali kugawa mapori kwa wafugaji

September 25, 2020

Na CLARA MATIMO – MISUNGWI WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza neema ya kugawa mapori kwa wafugaji ili wapate maeneo mazuri ya kufugia mifugo yao. Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ameyasema hayo jana wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Misungwi akiwa kwenye ziara ya kuwanadi wagombea,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *