img

Wajasiriamali Simiyu washukuru ujio wa vitambulisho

September 24, 2020

Derick Milton, Simiyu Ikiwa imepita mwaka mmoja tangu serikali kuanza kutoa vitambulisho vya ujasiriamali kwa wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) pamoja na wajasliamali, katika mkoa wa Simiyu wameeleza faida za mfumo huo. Wakiongea na Mtanzania Digitali leo katika maeneo ya Lamadi, Dutwa na Bariadi wajasliamali hao, wamesema kuwa kuletwa kwa vitambulisho hivyo vimeondoa gharama kubwa walizokuwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *