img

Mgombe ubunge Bariadi ahaidi kurejesha shamba la kijiji

September 24, 2020

Derick Milton, Bariadi MGOMBEA ubunge jimbo la Bariadi Mkoani Simiyu, kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Mhandisi Andrew Kundo amehaidi kurejesha shamba la kijiji cha Mwahalaja Kata ya Ikungu-Lyabashashi Jimboni humo ambalo limepolwa kwa muda mrefu na baadhi ya watu kinyume na utaratibu. Mhandisi Kundo amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo, kazi yake,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *