img

David Kalupa atuma salamu Bongo

September 24, 2020

CHRISTOPHER MSEKENA STAA wa Afro Fusion kutoka Uganda, David Kalupa, amesema wimbo, Finally, umemfungulia milango mingi ikiwa ni pamoja na kumkutanisha na mashabiki wapya wa Tanzania. Akizungumza na MTANZANIA, Kalupa mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), alisema anashukuru sapoti kubwa ambayo anaipata kutoka kwa mashabiki zake waliopo Bongo. “Finally ni wimbo wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *