img

Jonathan Budju aiweka wazi ‘MATTHIEU 6’, on September 20, 2020 at 10:07 am

September 20, 2020

MONTREAL, CANADA KUTOKA nchini Canada, mwimbaji wa gospo, Jonathan Budju, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuipokea video ya wimbo wake, MATTHIEU 6, aliouachia hivi karibuni. Akizungumza na Swaggaz jana, Jonathan mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), alisema ndani ya wimbo huo kuna ujumbe mzuri ambao Mungu amemtumia ili kuufikisha kwa watu wote.,

MONTREAL, CANADA

KUTOKA nchini Canada, mwimbaji wa gospo, Jonathan Budju, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuipokea video ya wimbo wake, MATTHIEU 6, aliouachia hivi karibuni.

Akizungumza na Swaggaz jana, Jonathan mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), alisema ndani ya wimbo huo kuna ujumbe mzuri ambao Mungu amemtumia ili kuufikisha kwa watu wote.

“Nashukuru mapokezi yamekuwa makubwa lakini natamani ujumbe uliopo ndani ya MATTHIEU 6 uwafikie watu wengi zaidi. Video tayari imetoka ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube kwahiyo unaweza kuitafuta naamini utabarikiwa,” alisema Jonathan.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *