img

Zuchu awashukuru mashabiki kwa mapokezi, on September 15, 2020 at 7:29 am

September 15, 2020

NA BEATRICE KAIZA NYOTA wa muziki wa bongo fleva, Zuhura Omary ‘Zuchu’ amewashukuru mashabiki zake kwa kuupokea wimbo wake mpya aliomshirikisha Diamond Platnumz, uitwao ‘Litawachoma’. Akizungumza na MTANZANIA jana, Zuchu alisema hadi sasa hana cha kuwalipa mashabiki zake, lakini anawashukuru kwa mapokezi makubwa. “Asante mashabiki zangu kwa mapokezi haya, hadi sasa huko Youtube tuna-trend, tuko,

NA BEATRICE KAIZA

NYOTA wa muziki wa bongo fleva, Zuhura Omary ‘Zuchu’ amewashukuru mashabiki zake kwa kuupokea wimbo wake mpya aliomshirikisha Diamond Platnumz, uitwao ‘Litawachoma’.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Zuchu alisema hadi sasa hana cha kuwalipa mashabiki zake, lakini anawashukuru kwa mapokezi makubwa.

“Asante mashabiki zangu kwa mapokezi haya, hadi sasa huko Youtube tuna-trend, tuko namba mbili, litawachoma ndani ya saa 15 tu baada ya kuitoa tumefikisha watazamaji zaidi ya laki 5,’’ alisema Zuchu.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *