img

MK Inc yamuibua upya A Flow Slim, on September 11, 2020 at 2:30 pm

September 11, 2020

KENTUCKY, MAREKANI LEBO ya muziki yenye makazi yake Louisville, Kentucky nchini Marekani, MK Entertainment (MK Inc), imemuibua kivingine msanii wa kizazi kipya kutoka Burundi, Abdoul Kharim a.k.a A Flow Slim kupitia wimbo mpya, Come Closer. Mk Visualiser ambaye ni Mkurugenzi wa lebo hiyo ameliambia MTANZANIA kuwa huo ni wimbo wa kwanza tangu A Flow Slim,

KENTUCKY, MAREKANI

LEBO ya muziki yenye makazi yake Louisville, Kentucky nchini Marekani, MK Entertainment (MK Inc), imemuibua kivingine msanii wa kizazi kipya kutoka Burundi, Abdoul Kharim a.k.a A Flow Slim kupitia wimbo mpya, Come Closer.

Mk Visualiser ambaye ni Mkurugenzi wa lebo hiyo ameliambia MTANZANIA kuwa huo ni wimbo wa kwanza tangu A Flow Slim aingie mkataba na MK Inc hivyo anawaomba mashabiki wampokee na wampe sapoti kama wanavyowapa wasanii wengine.

“Video ya Come Closer tayari imetoka na inapatikana kwenye chaneli yake ya YouTube na mitandao mingine ya kusikiliza muziki. A Flow Slim ni msanii mwenye kipaji kikubwa hivyo kama sisi MK Inc tunavyompa sapoti basi na Afrika Mashariki yote pia imshike mkono,” alisema Visualiser.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *